TANZANIA YAPONGEZWA KIMATAIFA KATIKA MASUALA YA UTALII.

Tanzania yapongezwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Utalii Duniani (UNWTO) kwa namna ambavyo ilifanikisha  kufanya Onesho la kwanza la utalii katika nchi za Afrika Mashariki lililofanyika mwezi Oktoba mwaka huu Jijini Arusha lililokuwa na   lengo la kutangza utalii katika nchi za Jumuiya za ukanda huo  Pongezi hizo zimetolewa na Katibu Mkuu wa Shirika